Tanzania kutumia intaneti ya Satelite ifikapo 2023 Tovuti ya Starlink imeanza kutoa nafasi ya kuagiza ungo wa satelite kwa dola 99. Tanzania ni moja ya nchi zilizotajwa kuanza kupata huduma ya intaneti ya satelite za Starlink ifikapo mwaka 2023. Read more about Tanzania kutumia intaneti ya Satelite ifikapo 2023