Idadi ya watu Duniani yafikia bilioni 8

Ikiwa ni miaka 11 imepita tangu Dunia ilipofikisha watu bilioni 7.

Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) idadi ya watu Duniani imefikia bilioni 8, ikiwa watu bilioni 1 wameongezeka ndani ya miaka 11.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS