"Kazi za Rais Samia zinavutia watalii " - Makoa

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Ally Juma Makoa

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Ally Juma Makoa, amesema kuwa miradi ya uendelezaji utalii iliyokamilika na ile inayoendelea kujengwa na Wizara ya Maliasili na Utalii katika maeneo yaliyohifadhiwa itasaidia kuongeza pato la Taifa kwa zaidi ya 17%.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS