Kocha wa Simba akutwa na dawa za kulevya

Muharami Sultan, Kocha wa magolikipa wa timu ya Simba, aliyekutwa na dawa za kulevya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imewakamata watuhumiwa 9 wakiwa na dawa za kulevya aina ya heroin kg 34.89 ambapo miongoni mwa watuhumiwa hao ni pamoja na Muharami Sultan ambaye ni kocha wa magolikipa wa timu ya Simba na ni mchezaji wa zamani wa timu hiyo pamoja

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS