Waandamana kupinga mabadiliko tume ya uchaguzi

Vyama vya upinzani na asasi za kiraia nchini Mexico wamejitokeza m    mitaani kuandamana kupinga mabadiliko ya tume ya uchaguzi yanayokusudiwa kufanywa na Rais wa nchi hiyo Andres Manuel Lopez Obrador

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS