Precision kuwalipa fidia wahanga wa ajali.
Shirika la ndege la Precision Air kupitia kwa mkurugenzi wake Patrick Mwanri limesema hawajaongea ama kutoa taarifa zozote kwa muda kutokana na sheria za anga kwani kunataratibu zake mpaka pale uchunguzi utakapokamilika na wizara ndio inahusika na mamlaka husikaa kutoa taarifa za uchunguzi