Riderman kuachia albam Kigali Riderman akiwa katika pozi Msanii mkali wa miondoko ya Hip Hop nchini Rwanda Emery Gatsinzi aka Riderman yupo mbioni kuzindua albam yake ndani ya mwezi huu Jijini Kigali. Read more about Riderman kuachia albam Kigali