Kili Tour Kahama hapatoshi leo
Timu nzima ya Kili Music Tour 2014, tayari imekwisha dondosha kikosi kizima pale Kahama tayari kwa ajili ya kudondosha bonge moja la burudani leo hii kwa wakazi wa mji wa kahama na vitongoji vyake pale katika uwanja wa Halmashauri.