Mzungu Kichaa ka-relax sana
Msanii Mzungu Kichaa ameamua kuzindua mzigo wa kazi mpya, Extended Play ambayo inakwenda kwa jina Relax yenye jumla ya nyimbo nne kwa njia ya onesho la Live litakalofanyika jijini Dar es Salaam akiwa sambamba na bendi yake ya Bongo Beat.