Jaguar akamilisha 'mzigo' mpya

Jaguar

Msanii wa muziki wa nchini Kenya, Jaguar amewataka mashabiki wake kufahamu kuwa, kazi yake mpya baada ya ngoma ya Kioo inayofanya poa kwa sasa, ipo tayari ikiwa na dalili zote za kuachiwa hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS