Juliani apata wa kumuuzia albam Juliani akitumbuiza stejini Msanii wa muziki Juliani, baada ya kuachia albam yake mpya ya Exponential Potential, ameweka wazi kuwa kumekuwa na changamoto katika swala zima la usambazaji. Read more about Juliani apata wa kumuuzia albam