Madiwani wakana kuhongwa shilingi mil 300
Diwani wa kata ya Bunju manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Bw. Majisafi Sharif, amekanusha tuhuma zilizotolewa bungeni na mbunge wa Kawe Bi. Halima Mdee kuwa yeye na madiwani wenzake wamehongwa pesa shilingi milioni 300.