Vilio vyatawala Tyson akiagwa leo
Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wametoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mtayarishaji Vipindi na Muongoza Filamu maarufu nchini Tanzania marehemu George Tyson katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.