Wabunge wa upinzani waikosoa bajeti wizara ya maji
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ni mmoja wa walioikosoa bajeti hiyo kwa madai ya kuwa ya upendeleo.
Wabunge wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania wameilalamikia Wizara ya Maji kutokana na majimbo mengi wanayoyawakilisha kukosa huduma muhimu ya maji.