Mgomo DIT waendelea kwa siku ya pili leo
Zaidi ya wanafunzi 3,402 wa Taasisi Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wameendelea kugoma kufanya mitihani ya muhula wa mwisho wa mwaka wakishinikiza uongozi wa taasisi hiyo kuwaruhusu wenzao waliozuliliwa kufanya mitihani hiyo.