Mjadala wa bajeti bunge la Afrika Mashariki moto
Bunge la Afrika Mashariki linalokutana jijini Arusha nchini Tanzania jana limeshindwa kujadili na kupitisha makadirio na matumizi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kufuatia wabunge watatu kujitoa katika kikao hicho.