Waliotwaa medali Botswana wapongezwa Wanamichezo vijana wa Tanzania chini ya miaka 15 wakiwa katika michuano ya vijana ya Africa huko Botswana. Serikali yawapongeza vijana wa Tanzania walioshinda medali ya fedha katika michuano ya olimpiki kwa mpira wa miguu iliyofanyika nchini Botswana Read more about Waliotwaa medali Botswana wapongezwa