Zari Hassan abadili dini Zari akiwa na wanawe Zarina Hassan, maarufu zaidi kama The Boss Lady kutoka nchini Uganda, amerejea tena katika vichwa vya habari, safari hii ikiwa ni kutokana na hatua yake ya kuamua kubadili dini na kuwa mkristo na kubatizwa rasmi. Read more about Zari Hassan abadili dini