Maurice Kirya amkana Flavia Maurice Kirya, Staa wa muziki wa nchini Uganda amesema kuwa, tetesi ambazo zinaendelea kusambaa mtandaoni kwa sasa kuhusiana na yeye kuwa na mahusiano na mrembo Flavia Tumusiime, hazina ukweli wowote. Read more about Maurice Kirya amkana Flavia