Bella: Nitakuwepo Kili Tour Mwanza

Mwanamuziki wa dansi nchini Tanzania Christian Bella ameeleza kuwa yeye ni miongoni mwa wanamuziki watakaopanda jukwaani Jumamosi hii katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza katika ziara ya muziki ya Kili Tour.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS