Serikali kuvutia zaidi uwekezaji sekta ya Bima

Naibu waziri wa fedha na uchumi nchini Tanzania, Adam Kigoma Ali Malima.

Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kushawishi na kuzikaribisha taasisi za kimataifa zinazojishughulisha na utoaji wa Bima ili kuvutia zaidi uwekezaji na wawekezaji kuwa na moyo wa kuwekeza nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS