Young Killer Kikaangoni Live
Rapa mwenye umri mdogo na kipaji kikubwa katika gemu ya muziki Tanzania, Young Killer, leo hii ameshiriki 'Kikaangoni Live', katika ukurasa wa facebook wa EATV akipangua maswali mengi ambayo wadau na mashabiki wake walikuwa na kiu ya kufahamu.