Wilaya ya Handeni kutaifisha mbao za magendo
Serikali wilayani Handeni imeagizwa kutaifisha mbao zote zilizokamatwa kwa wafanyabiashara, ili zitumike kutengenezea madawati kufuatia wilaya hiyo kukabiliwa na uhaba wa madawati zaidi ya 9980 na kusababisha idadi kubwa ya wanafunzi kukaa chini.