Octopizzo aumiza kichwa kama baba

Rapa Octopizzo amezungumza katika nafasi yake kama baba wa mabinti wawili na kusema kuwa, watoto wake hawa wamemfundisha kuwa mtu wa kusimamia kikamilifu majukumu yake, na kumfanya kila siku kufikiria namna ya kuwatengenezea maisha bora.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS