Tanzania ina zaidi ya askari 2000 UN - Membe
Serikali ya Tanzania imesema mpaka kufikia Machi 2014 imeshapeleka askari 2,259 katika nchi mbalimbali za Afrika na Duniani katika kuusaidia Umoja wa Mataifa katika utatuzi wa migogoro na ulinzi wa amani.