Cricket U20 TZ kuingia kambini Juni mwaka huu

Wanamichezo vijana wa Cricket Tanzania.

Chama cha cricket nchini Tanzania TCA kimetangaza mpango wa kuwaandalia ligi ndogo ya vijana wachezaji wa timu ya Taifa ili kuwapima uwezo kabla ya kwenda Zambia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS