Taifa stars uso kwa uso na Flames ya Malawi

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars

Taifa Stars na Malawi (Flames) zinapambana kesho (Mei 27 mwaka huu) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 kamili jioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS