Stars kiwango yaiduwaza Zimbabwe nyumbani
Wakicheza kandanda safi wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars wameweza kuwatoa kimasomaso watanzania baada ya hii leo kutinga hatua ya pili ya michuano ya mtoano kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afrika.