Polisi yanasa wafuasi 155 wa kundi la 'Panya Road
Jeshi la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania linawashikilia vijana 155 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa genge la uhalifu linalojiita Panya Road ambao hapo awali walikuwa wanajiita Mbwa Mwitu.