Taifa stars yatua kuivaa Zimbabwe Jumapili kikosi cha taifa stars kikiwa safarini nje ya nchi. Shirikisho la soka nchini limesema kuwa kikosi cha taifa Stars kimewasili nchini Zimbabwe na kiko tayari kuwavaa wazimbabwe hapo kesho kutwa mjini Harare. Read more about Taifa stars yatua kuivaa Zimbabwe Jumapili