Watanzania watatu watajwa tuzo za AFRIMMA
Tuzo za African Music Magazine, AFRIMMA zimetangaza wasanii watakaoshiriki katika kinyang'anyiro kwa mwaka huu, ambapo katika orodha ya 'nominees', yapo majina ya wasanii wa Tanzania ambao ni Diamond Platinumz, Ben Pol pamoja na Lady Jay Dee.