Wakazi Mwananyamala wahofia homa ya Dengue
Wakazi wanaoishi karibu na soko la Mapinduzi Mwananyamala jijini Dar es Salaam, wameelezea hofu ya uwezekano wa kuugua ugonjwa wa homa ya Dengu, kufuatia mazingira machafu katika soko hilo ambalo linatumiwa na idadi kubwa wakazi wa mwananyamala.