Tanzania inakabiliwa na saratani mfumo wa chakula Makamu wa rais wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal. Jumla ya wagonjwa wapya milioni 3.4 huugua saratani za mfumo wa chakula na ini na kati yao wengi wanatoka katika nchi masikini ikiwemo Tanzania. Read more about Tanzania inakabiliwa na saratani mfumo wa chakula