Miss Tanga 2014 yazinduliwa rasmi leo
Shindano la kumsaka mlimbwende wa Jiji la Tanga, Nice and Lovely Miss Tanga 2014 leo hii limezinduliwa rasmi Jijini Dar es Salaam, sambamba na kutambulishwa kwa zawadi kubwa kwa mshindi, Gari aina ya Totota Vits yenye thamani ya shilimgi milioni 10.