Serikali yaahidi kujenga barabara 41, madaraja 13

Waziri wa Ujenzi nchini Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.

Wizara ya Ujenzi imepanga kujenga barabara 41 na madaraja 13 nchini kwa kiwango cha lami zenye urefu wa Kilomita 3,074, ikiwa ni pamoja na upanuzi wa barabara ya Dar-es-salaam - Chalinze yenye urefu wa kilomita 100 kwa mwaka 2014/2015.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS