TFF kuendesha semina kwa waandishi wa soka. Boniface Wambura-afisa habari TFF Shirikisho la soka hapa nchini TFF limepanga kuendesha semina maalumu kwa waandishi wa habari za mpira wa miguu ili kuwakumbusha namna sahihi ya kuripoti mchezo huo. Read more about TFF kuendesha semina kwa waandishi wa soka.