Radio na Weasel watoa ya moyoni

Radio & Weasel

Wasanii wawili wa nchini Uganda, Radio pamoja na Weasel ambao walikuwa wakitambulika kama Goodlyf, wamesema kuwa, kutengana kwao na Meneja Jeff Kiwanuka na kujitoa Goodlyf ni hatua ambayo haiusiani na ugomvi wowote kati yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS