Dar yaonja joto nguvu ya walemavu
Jamiii ya watu wenye ulemavu, jana wamefunga barabara za Uhuru na Kawawa jirani na ofisi za mkuu wa Dar es Salaam na kuzuia kabisa usafiri wa kuingia eneo la Kariakoo pamoja na ule wa kati ya Chang'ombe na Magomeni.