Wanasiasa waeleze athari za IKIMWI - Jaji Mutungi
Wanasiasa nchini Tanzania wametakiwa kufahamu kuwa ni jukumu lao na ni sehemu ya wajibu wao wa kila siku kuhakikisha kuwa wanawaeleza wananchi kuhusiana na athari za janga la UKIMWI nchini ili kuonesha upana wa tatizo hilo na athari zake.