Mechi ya Taifa Stars Vs Zimbabwe yaingiza Mil 63/-

Baadhi ya Mashabiki walioingia uwanjani kutazama mechi kati ya Taifa Stars na Zimbabwe

Mechi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani nchini Morocco kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Zimbabwe iliyochezwa Jumapili katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 63,345,000.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS