Cindy Sanyu kutoka hivi kimataifa
Mrembo anayefanya poa katika gemu ya muziki nchini Uganda, Cindy Sanyu ameripotiwa kuwa katika maongezi na promota mkubwa Suudi Lukwango kwa ajili ya kazi ya kumsimamia shughuli za msanii huyu katika ngazi ya kimataifa.