Tanzania U15 yazidi kutesa Botswana

Tanzania imeendelea kung’ara kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 baada ya jana (Mei 25 mwaka huu) kuichapa Swaziland mabao 3-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS