Moja ya mabasi ambayo mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu Sumatra kwa kushirikiana na uongozi wa jiji la Dar es Salaam imeyapulizia dawa kuuwa mbu wanaosambaza homa hatari ya Dengue.
Zaidi ya mabasi ya abiria 280 yanayokwenda mikoani na nje ya nchi kutoka kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo jijini Dar-es-Salaam, yameshapulizwa dawa kuwalinda abiria dhidi ya ugionjwa wa dengue.