NEMC yalia na mchakato tathmini ya mazingira

Uvunaji holela wa rasilimali za misitu kama unavyoonekana hapo juu umekuwa ukipingwa vikali na baraza la taifa la usimamizi wa mazingira NEMC.

Baraza la Taifa la Hifadhi na usimamizi wa Mazingira nchini Tanzania (NEMC) limelalamikia mchakato wa kutoa hati ya tathimini ya athari ya mazingira kwamba unachukua muda mrefu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS