Wagombea wote 41 wapenya Uchaguzi Simba Dkt Damas Ndumbaro, Mwenyekiti kamati ya uchaguzi Simba Kamati ya uchaguzi ya simba hii leo imetangaza orodha ya awali ya wagombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya klabu hiyo katika uchaguzi ambao utafanyika june 29 mwaka huu. Read more about Wagombea wote 41 wapenya Uchaguzi Simba