Watoto wa Mbwa sasa wajiita "Panya Road"
Kikundi cha wahalifu kinachojiita Panya Road ambacho zamani kilikuwa kikijiita Watoto wa Mbwa chenye maskani yake Ilala jijini Dar es Salaam, kimelalamikiwa na wakazi wa maeneo hayo kwa kuendesha vitendo vya uporaji na kujeruhi.