Jamii ipambane na ukatili kwa wazee - MACHIBYA
Mkuu wa mkoa wa Kiigoma Luten Kanal mstaafu Issa Machibya amewataka wananchi kupinga vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa wazee, ambavyo vimekuwa vikifanyika katika jamii na kusababisha vifo na wengine kuwa ombaomba.