Nikki amudu joto la Kikaango?

Nikki wa Pili

Rapa wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili leo hii ameshiriki katika Kikaangoni Live ya ukurasa wa facebook wa EATV na kujibu maswali mengi ambayo wadau na mashabiki wake walikuwa na kiu ya kupata majibu yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS