Wabunge Afrika Mashariki wawezeshwe - Upinzani
Kambi rasmi ya upinzani bungeni nchini Tanzania imeitaka serikali iwawezeshe wabunge wanaoiwakilisha Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki kwa kuwapa ofisi pamoja na kuwapatia vitendea kazi vitakavyowasaidia kutekeleza majukumu yao ya kila siku.