Madereva Nyegezi wakimbia kupimwa ulevi
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza, linawasaka Madereva zaidi ya 10 wanaoendesha magari ya mikoani na nje ya nchi waliokimbia kupimwa ulevi pamoja na macho katika kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi